Kisongo (lugha)

Kisongo (au Kinsongo) ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wasongo. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kisongo imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisongo iko katika kundi la H20.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy